Azam FC

NYOTA WAWILI WA AZAM FC KAZINI NA TIMU YAO YA TAIFA YA UGANDA

admin March 24, 2021 12:47 pm


 MATHIAS Kigonya kipa namba moja wa Azam FC pamoja na beki wa kulia Nicholas Wadada wapo ndani ya kikosi cha timu ya taifa ya Uganda ,’ The Crane’.

Leo Jumatano Machi 24 wana kazi ya kusaka ushindi dhidi ya Burkina Faso mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika, ( Afcon).


Mchezo huo utachezwa Uwanja wa Nelson Mandela, Uganda.

Uganda kwenye hatua za makundi ipo kundi B ikiwa inashika nafasi ya pili baada ya kucheza echi nne imekusanya pointi 7.

Kinara wa kundi hilo ni Burkina Faso mwenye pointi 8 kibindoni.


DEMBELE AANGUKA MAZOEZINI, HALI YAKE IMEREJEA KWENYE UBORA ERASTO NYONI KUWAJIBU NAMNA HII WALE WANAOMUITA MZEE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply