Yanga SC

ORODHA YA NYOTA WA KIKOSI CHA YANGA WALIOANZA MAZOEZI

admin March 26, 2021 5:47 am


 KIKOSI cha Yanga chini ya Kaimu Kocha, Juma Mwambusi kimeanza mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya mechi za Ligi Kuu Bara, Kombe la Shirikisho kwa msimu wa 2020/21.

Nyota wengine ikiwa ni pamoja na Tonombe Mukoko yupo na timu yake ya taifa ya DR Congo, Bakari Mwamnyeto, Feisal Salum hawa wapo na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars.

Hii hapa orodha ya wachezaji ambao wameanza mazoezi kambini Avic:-

Ramadhan Kabwili.

Farouk Shikalo.

Yacouba Songne.

Wazir Junior.

Tuisila Kisinda.

Shomari Kibwana.

Adeyum Saleh.

Michael Sarpong.

Paul Godfrey.

Said Makapu.

Omar Chidaba.

Ditram Nchimbi.

Dickson Job.

Zawad Mauya.

COUTINHO, GRIEZMANN, UMTITI WAWEKWA KWENYE HESABU ZA KUUZWA BARCA KMC YAUNGANA NA WATANZANIA KUMLILIA MAGUFULI, YASITISHA MIPANGO KAZI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply