kimataifa

RAMOS AAMBIWA AONGEZE MKATABA WA MAISHA REAL MADRID

admin March 26, 2021 11:47 am


 GWIJI wa Real Madrid, Fernando Hierro amesema kuwa anatarajia kumuona nyota wa kikosi hicho Sergio Ramos akiongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo.

Hierro amesema kuwa anaamini kwamba beki huyo  ataongeza mkataba ambao utakuwa ni wa kuitumikia timu hiyo maisha yake yote.

Mkataba wa Ramos ndani ya kikosi cha Real Madrid unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa msimu huu na mpaka sasa ishu ya mkataba wake mpya mambo bado ni magumu.

“Ninapenda kumuona Sergio Ramos akiendelea kuichezea Real Madrid na kustaafia hapo kwani ni mchezaji mzuri na ana uwezo mkubwa,” amesema.

KOCHA YANGA AWAPA PROGRAM MATATA WACHEZAJI WAKE, DOZI YAKE IPO NAMNA HII MWAMBUSI: TUTAFANYA VIZURI NDANI YA LIGI NA KOMBE LA SHIRIKISHO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply