Simba SC

VIDEO: MFARANSA WA SIMBA GOMES AZITAKA POINTI TATU ZA AS VITA

admin March 30, 2021 9:47 am

KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes, raia wa Ufaransa amesema kuwa maandalizi ambayo wanayafanya kwa sasa kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita ya Congo yanakwenda vizuri na wana amini kwamba watapata matokeo chanya. 


Simba inaendelea na mazoezi kwenye Viwanja vya Simba Mo Arena ambapo wanatarajiwa kucheza na AS Vita, Aprili 3, Uwanja wa Mkapa.

 Gomes amesema kuwa anahitaji kushinda kwenye mchezo huo ili kupata pointi tatu muhimu.

 

MWAMBUSI AFUNGUKA A-Z SABABU ZA KUONDOKA YANGA NA KURUDI MAPINDUZI BALAMA, DICKSON JOB KAMILI GADO KWA KAZI YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply