Home Yanga SC CEDRIC KAZE AFUKUZWA KAZI YANGA , BENCHI ZIMA LA UFUNDI LAVUNJWA

CEDRIC KAZE AFUKUZWA KAZI YANGA , BENCHI ZIMA LA UFUNDI LAVUNJWA

 


BAADA ya kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 leo mbele ya Polisi Tanzania,  uongozi wa Yanga rasmi umetangaza kuvunja benchi la ufundi lililokuwa likiongozwa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze .

Taarifa rasmi iliyotolewa na Yanga imeeleza namna hii:-


SOMA NA HII  NABI AFUNGUKA KILICHOMPONZA KAIZER CHIEFS BAADA YA KUONDOKA YANGA