Home Simba SC MITAMBO 11 YA KAZI INAYOKUBALIKA KWA GOMES NDANI YA SIMBA

MITAMBO 11 YA KAZI INAYOKUBALIKA KWA GOMES NDANI YA SIMBA


 KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes tayari ameshapata kikosi cha kwanza cha ushindi ndani ya timu hiyo inayoshiriki michuano mikubwa mitatu.

Kombe la Shirikisho na Ligi Kuu Bara hapa wao ni mabingwa watetezi pamoja na Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo wapo hatua ya makundi na waoangoza kundi A wakiwa na pointi sita.

Leo wana kazi ya kusaka ushindi mbele ya JKT Tanzania, mchezo wa ligi kisha wana kibarua cha kukwea pipa mpaka Sudan, kusaka ushindi mbele ya Al Merrikh, mchezo unaotarajiwa kuchezwa Machi 6.

Hiki hapa kikosi cha kwanza cha Gomes ambacho ameanza kukikubali na akianza nao wamekuwa wakimpa ushindi:-

Aishi Manula

Shomari Kapombe

Pascal Wawa

Joash Onyango

Mohamed Hussein

Mzamiru Yassin

Thadeo Lwanga

Rarry Bwalya

Luis

Chris Mugalu

Clatous Chama

SOMA NA HII  HIVI NDIVYO SIMBA WALIVYOAMUA 'KUTEMANA KISAIKOLOJIA' NA RALLY BWALYA...KMC YATAJWA...