Home Taifa Stars ORODHA YA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA, TAIFA STARS KITAKACHOIBUKIA...

ORODHA YA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA, TAIFA STARS KITAKACHOIBUKIA EQUTORIAL GUINEA


TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ina kibarua cha kucheza mchezo dhidi ya Equatorial Guinea, Machi 25 ambao ni maalumu kwa ajili ya kufuzu Afcon nchini Cameroon.


Kikosi kilikuwa kimeweka kambi Kenya kwa ajili ya maandalizi ya mechi hiyo na hii hapa ni orodha ya wachezaji ambao wataibukia Equatorial Guinea, chini ya Kocha Mkuu, Kim Poulsen:- 

Aishi Manula

Metacha Mnata

Juma Kaseja

Shomari Kapombe

Israel Mwenda

Erasto Nyoni

Bakari Nondo Mwamnyeto

Kelvin Yondani

Kenedy Juma

Laurent Alfred

Mohamed Hussein

Nickson Kibabage

Yassin Mustapha

Simon Msuva

Hassan Dilunga

Mzamiru Yassin

Jonas Mkude

Feisal Salum

Himid Mao

Salum Abubakari

Farid Mussa

Iddy Seleman

Mbwana Samatta

Thomas Ulimwengu

John Bocco

Yohana Mkomola

Shaban Idd

Deus Kaseke

Abdul Seleman

Ayoub Lyanga

SOMA NA HII  STARS KAMILI KUIVAA BENIN KESHO KWA MKAPA