Home Simba SC VIDEO: SIMBA TUNAHITAJI HESHIMA, TUNAONGOZA KUNDI

VIDEO: SIMBA TUNAHITAJI HESHIMA, TUNAONGOZA KUNDI

MIONGONI mwa mashabiki wa Simba ambaye jina lake pia anajiita Aggy Simba amesema kuwa Klabu ya Simba inapaswa kupewa heshima kwa kuwa inafanya vizuri na imetinga hatua ya robo fainali. Pia ameweka wazi kwamba inaongoza kundi A. 

 

SOMA NA HII  ALICHOKISEMA MO DEWJI BAADA YA SIMBA QUEENS KUTINGA NUSU FAINAL CAF..."TUNAKUJA"...