Uncategorized
VIDEO: MFARANSA WA SIMBA HESABU ZAKE KWA SASA NI KWENYE LIGI KUU BARA
DIDIER Gomes, raia wa Ufaransa ambaye ni Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa hesabu kubwa baada ya kutinga hatua ya robo fainali kwa sasa ni kwenye mechi za Ligi Kuu Bara.
Gomes aliendeleza pale ambapo aliishia mtangulizi wake Sven Vandenbroeck ambaye alibwaga manyanga baada ya timu hiyo kutinga hatua ya makundi.
Ameongeza kuwa kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Al Ahly kwao hayakuwa matokeo mazuri licha ya wachezaji wake kufanya vizuri ila watajipanga vizuri kwa ajili ya hatua ya robo fainali.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.