Yanga SC

VIDEO: YANGA YAITAKA SIMBA KWA MKAPA, YATAMBA KUSEPA NA UBINGWA

admin April 21, 2021 11:47 am

BAADA ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Gwambina kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, shabiki wa Yanga maarufu kwa jina la Utopolo amesema kuwa bado wana nafasi ya kutwaa ubingwa huku na hawana mashaka na mchezo wao unaotarajiwa kuchezwa Mei 8 pia ameongeza kuwa wapinzani wao wakiwa hawana nafasi ya kutwaa ubingwa huo

 

SIMBA YAMTAJA MBADALA WA MORRISON KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA KAGERA SUGAR

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply