Home Burudani HARMONIZE FT AWILO LONGOMBA & H BABA – ATTITUDE (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

HARMONIZE FT AWILO LONGOMBA & H BABA – ATTITUDE (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

 

Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Harmonize  leo Aprili 23, 2021 ameachia video ya wimbo wake wa Attitude aliowashirikisha wwanamuziki wa Kongo, Awilo Longombana na msanii wa muziki wa Bongo Bolingo, Hamis Ramadhani maarufu kwa jina la H. Baba.

SOMA NA HII  BAADA YA KUHAMIA YANGA NA KURUSHA VIJEMBE SIMBA...WANASAIKOLOJIA WAMTABIRIA HAYA MANARA