epl

ARGUERO AINGIA ANGA ZA BARCELONA NA INTER

admin April 26, 2021 1:48 pm


NYOTA wa Manchester City,  Kun Aguero mwenye miaka 32 anatajwa kuingia kwenye rada za Barcelona na Inter Milan. 

Nyota huyo alikuwa miongoni mwa waliotwaa taji la nne la Carabao Cup jana kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tottenham Hotspurs.

Linakuwa ni taji la nne kwa City la Carabao Cup na wametwaa taji hilo mfululizo jambo ambalo ni mafanikio kwake.

Hatakuwa ma timu hiyo msimu utakapoishwa law kuwa mkataba wake umemeguka na hataongeza kandarasi nyingine.

Inaelezwa kuwa Inter Milan na Barcelona zinawania saini yake hata Liverpool nao wamekuwa wakitajwa kuhitaji saini yake.

YANGA: UBINGWA BADO SANA, TUSHIKAMANE MWAMBUSI ASEPA YANGA, ISHU YA KUWEPO KWENYE BENCHI MBELE YA AZAM FC ILIBUMA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply