Azam FC

VIDEO: DUBE: BAO LANGU MBELE YA YANGA NI KWA AJILI YA TIMU

admin April 26, 2021 3:47 pm


MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Prince Dube amesema kuwa bao lake ambalo alifunga mbele ya Yanga ni maalumu kwa ajili ya timu yake, pia ameongeza kwa kusema kwamba yeye ni mchezaji wa Azam kwa sasa hawezi kufikira kuhusu timu nyingine. 


Kwa upande wa ligi ya Tanzania amesema kuwa anawashukuru kwa sapoti ambayo wanampa jambo linalompa furaha. Dube kwa sasa ni namba moja kwenye utupiaji akiwa amefunga jumla ya mabao 12 ndani ya ligi.

 

SIMBA: DODOMA JIJI NI TIMU NGUMU, TUNAWAHESHIMU ILA TUPO TAYARI ZAKAZAKAZI ATUPA DONGO KWA YANGA, SIMBA NAMNA HII

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply