Azam FC

ZAKAZAKAZI ATUPA DONGO KWA YANGA, SIMBA NAMNA HII

admin April 26, 2021 4:48 pm

OFISA Habari wa Azam FC amesema kuwa yeye mmoja ni sawa na Bumbuli, Antonio Nugaz ukichangaya na Dismas Ten unampata Zaka mmoja kutokana na nafasi ambayo yeye anaifanyia kazi yupo peke yake na pale ambapo wanakwama huwa anakuja kuwasaidia Ten.

 
Ameongeza kuwa ikiwa itakuwa ni Zaka Zakazi basi utachanganya wengine wote mpaka kocha wao, pia kuhusu jambo lao ameweka wazi namna hii. Amesema kuwa sababu kubwa ya kuwafunga ni nguvu ya Mungu

 

VIDEO: DUBE: BAO LANGU MBELE YA YANGA NI KWA AJILI YA TIMU DODOMA JIJI YATAMBA KUISHANGAZA SIMBA KESHO KWA MKAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply