Home Yanga SC VIDEO: SABABU YA YANGA KUFUNGWA NA AZAM HII HAPA, UBINGWA BADO

VIDEO: SABABU YA YANGA KUFUNGWA NA AZAM HII HAPA, UBINGWA BADO

ALLY Kamwe mchambuzi wa masuala ya michezo amesema kuwa kupoteza kwa Yanga mbele ya Azam FC kwa kufungwa bao 1-0 ni somo kwao huku akiweka wazi kwamba suala la ubingwa kuwa kimahesabu bado lipo wazi kusema kwamba mbio za ubingwa limeisha, huku akiweka wazi kwamba Simba wamekuwa na jitihada ndani na nje ya uwanja

 

SOMA NA HII  MAKAME AANIKA MAISHA YA SIRI YA 'FEI TOTO'...ADAI ANAPENDA KUOMBAOMBA KILA KITU...WALIKUWA WANAMCHEKA...