news

BREAKING: SIMBA YAMALIZANA NA MTAMBO HUU WA MABAO

admin April 28, 2021 3:47 pm


 MTAMBO wa mabao ndani ya Simba ambaye pia ni nahodha, John Bocco naye ameongezewa mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo.

Bocco ambaye ni mzawa wa kwanza kufunga mabao zaidi ya 100 ndani ya Ligi Kuu Bara mkataba wake ulikuwa unafika ukingoni msimu wa 2020/21 utakapomeguka.

Anakuwa mchezaji wa pili kutambulishwa rasmi kuongeza mkataba ndani ya Simba baada ya nahodha msaidizi Mohamed Hussein kuongeza dili lake.

Kwenye Ligi Kuu Bara, msimu huu Bocco ametupia mabao 10 na ana pasi mbili za mabao.

TANZANIA PRISONS: TUNAICHAPA YANGA NA KOMBE TUNACHUKUA NEYMAR JR AZUNGUMZIA HATMA YAKE PSG,LEO KAZINI LIGI YA MABINGWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply