Yanga SC

VIDEO: YANGA WALIKATIA TAMAA KOMBE LA LIGI KUU BARA,

admin April 28, 2021 7:47 am

KUMBE baada ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC wakati Yanga wakipoteza kwa kufungwa bao 1-0 kuna mashabiki Yanga walilia, shabiki huyu amesema kuwa kilio kikubwa cha timu hiyo kwa sasa ni washambuliaji huku wakiwaomba viongozi kutatua matatizo yaliyopo kwenye timu pia ameweka wazi kwamba suala la ubingwa kwao ni ngumu.  

 

VIDEO: MKANDALA AJIVUNIA KUWAFUNGA SIMBA MARA MBILI SUALA LA MABADILIKO YANGA BADO KIDOGO KUKAMILIKA, FCC WATAJWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply