Ligi Kuu

VIDEO: MKANDALA AJIVUNIA KUWAFUNGA SIMBA MARA MBILI

admin April 28, 2021 6:47 am

CLEOPHANCE Mkandala, kiungo mshambuliaji wa kikosi cha Dodoma Jiji kinachonolewa na Kocha Mkuu, Mbwana Makata amesema kuwa walikuwa wanahitaji kupata pointi tatu ila walikwama kutokana na kuzidiwa mbinu.


 Amebainisha kwamba kuifunga Simba kwenye mechi mbili walipokutana Uwanja wa Jamhuri wakati ubao ukisoma Dodoma Jiji 1-2 Simba  na jana ubao kusoma Simba 3-1 Dodoma Jiji kwa Mkapa kwake ni furaha. 

 

BEKI WA YANGA NINJA KUIBUKIA MBEYA LEO VIDEO: YANGA WALIKATIA TAMAA KOMBE LA LIGI KUU BARA,

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply