Simba SC

VIDEO: SIMBA YAWAITA MASHABIKI KESHO, IKIWA WATAJITOKEZA MEI 8 WAAHIDI MABAO ZAIDI YA MATATU

admin April 30, 2021 5:51 pm


KUELEKEA kwenye mchezo wa kesho Mei Mosi, ambao ni wa Kombe la Shirikisho hatua ya 16 bora, Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku dhidi ya Kagera Sugar, uongozi wa Simba umewaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi.


 Haji Manara, Ofisa Habari wa Simba amewaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi huku akionesha masikitiko yake kwa mashabiki wa Dar kutojitokeza kwa wingi. Pia ameahidi kuwa ikiwa watajitokeza kwa wingi mchezo wao wa Mei 8( Simba v Yanga) watashinda zaidi ya mabao matatu. 

 

YANGA YAPENYA 16 BORA MBELE YA TANZANIA PRISONS MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply