Home Simba SC VIDEO: AISHI MANULA KIPA NAMBA MOJA WA SIMBA AFUNGUKIA ISHU YAKE NA...

VIDEO: AISHI MANULA KIPA NAMBA MOJA WA SIMBA AFUNGUKIA ISHU YAKE NA AL MERRIKH

MLINDA Mlango namba moja wa Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes, Aishi Manula amesema kuwa bado ana mkataba na mabosi wake wa Simba hivyo ataendelea kutumika ndani ya kikosi hicho kinachoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika kikiwa hatua ya makundi na kinaongoza kundi A na pointi zake ni 10. 


Manula amekuwa akitajwa kuingia kwenye rada za Klabu ya Al Merrikh ya Sudan ambapo amesema kuwa hilo bado ni suala la timu yake.

 

SOMA NA HII  MISOMANE KOCHA WA AL AHLY ASEMA KUWA HAWAJAFUNGWA KWA MBINU BALI MAZINGIRA