Home Yanga SC VIDEO: YANGA WALIKATIA TAMAA KOMBE LA LIGI KUU BARA,

VIDEO: YANGA WALIKATIA TAMAA KOMBE LA LIGI KUU BARA,

KUMBE baada ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC wakati Yanga wakipoteza kwa kufungwa bao 1-0 kuna mashabiki Yanga walilia, shabiki huyu amesema kuwa kilio kikubwa cha timu hiyo kwa sasa ni washambuliaji huku wakiwaomba viongozi kutatua matatizo yaliyopo kwenye timu pia ameweka wazi kwamba suala la ubingwa kwao ni ngumu.  

 

SOMA NA HII  SIMBA V YANGA SEPTEMBA 25, HAKUNA NAMNA, TIMU ZOTE KAMILI GADO