Home Yanga SC VIDEO: YANGA YAZUNGUMZIA USHINDI WA BAO 1-0 DHIDI YA BIASHARA UNITED

VIDEO: YANGA YAZUNGUMZIA USHINDI WA BAO 1-0 DHIDI YA BIASHARA UNITED

LICHA ya Yanga kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Biashara United bado wameweka wazi kwamba wapo imara na waliwafunga bao hilo kwa kuwa Biashara United walitembea muda mrefu na hawajawadhalilisha kwa kuwafunga mabao mengi.

 

SOMA NA HII  BAADA YA KUISHIA JUKWAANI MSIMU ULIOPITA...MAKAMBO AVUNJA UKIMYA KUHUSU YANGA MPYA...ATOA MSIMAMO WAKE...