Simba SC

SIMBA: TUTAPATA PENALTI 5 MBELE YA YANGA

admin May 2, 2021 4:47 am

SHABIKI wa Simba, maarufu kama Simba Ulaya amesema kuwa mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Kagera Sugar wakati wakishinda mabao 2-1 ulikuwa ni mpango wa timu hiyo kupanga kikosi kitakachoanza kwenye mchezo dhidi ya Yanga, Mei 8. 


Ameongeza kuwa wanaweza kupata penalti tano kwenye mchezo huo ambao unazidi kuwa na joto kwa sasa.

 

VIDEO: KAGERA SUGAR WATAJA SABABU YA KUFUNGWA, VAN DIJK AANZA MAZOEZI, AREJESHA MATUMAINI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply