Yanga SC
MZEE WA UTOPOLO ANAFUNGUKIA MECHI YA SIMBA V YANGA
KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba v Yanga, shabiki wa Yanga Mzee wa Utopolo anazungumza namna watakavyowafanya wapinzani hao wanaonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.