Yanga SC

YANGA: CHAMA, LUIS HAWAWEZI KUCHEZA MBELE YA NINJA

admin May 7, 2021 4:47 am


SHABIKI wa Yanga, Jimmy Kindoki amesema kuwa kwa namna yoyote ile mchezo wa Simba v Yanga, Yanga lazima washinde kwa kuwa mchezo wa dabi ni mechi ya tofauti. 


Ameongeza kuwa ikiwa Simba watakuwa na akili wazianze na mchezaji wao wa zamani, Bernard Morrison.
Kesho Mei 8 Yanga watakuwa wageni kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa majira ya saa 11:00 na sababu nyingine ameongeza kwamba Simba wanawadharau Yanga.

 

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA VIDEO: MECKY MAXIME ATAKA KUWATENGENEZA AKINA CHAMA WATANZANIA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply