Yanga SC

BREAKING: HATIHATI MECHI YA SIMBA V YANGA KUTOCHEZWA LEO

admin May 8, 2021 2:47 pm


BAADA ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Yanga kupelekwa mbele kikosi cha Yanga kimewasili uwanjani kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo huo ambao unatarajiwa kuchezwa saa 1:00 usiku.

Muda wa awali ulipangwa saa 11:00 ila taarifa ambayo imetolewa na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) imepeleka mbele muda mpaka saa 1:00 usiku.

Wachezaji wa Yanga wameanza mazoezi na wameweka wazi kuwa ikifika dakika 15 watawasubiri wapinzani wao ili kuona kama Simba watafika au la.

BREAKING: YANGA YAGOMEA MABADILIKO YA MUDA YA MECHI YAO LEO VIDEO: UCHAMBUZI WA KUELEKEA MCHEZO WA LIGI KATI YA SIMBA V YANGA,

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply