Home Simba SC SIMBA: TUNAWATAKA YANGA TUWAFUNGE 4

SIMBA: TUNAWATAKA YANGA TUWAFUNGE 4

BAADA ya mchezo wa Simba na Yanga kughairishwa jana, Mei 8, mashabiki wa Simba wamesema kuwa hawahitaji pointi za mezani ila wanahitaji wacheze na Yanga ili wawachezee pira biriani. 

 

SOMA NA HII  BAADA YA YANGA KUMALIZA...SIMBA WAANZA WIKI NA BIL 20 ZA BETWAY....CHUMA KIPYA HIKI HAPA..