Simba SC

VIDEO: KUMBE WACHEZAJI WA SIMBA WALIPASWA KUSAJILIWA YANGA

admin May 12, 2021 8:47 am


DK: TIBOROHA amesema kuwa kuna wachezaji ambao wanacheza kikosi cha Simba kwa sasa walipaswa kucheza ndani ya Yanga ila wapo Simba jambo lililomfanya ajitoe kwenye Kamati ya Ufundi wa Yanga kwa sababu wengi waliokuwa wanasajiliwa tofauti na yale mapendekezo ambayo yalikuwa yanapendekezwa.


 Miongoni mwa wachezaji ambao walikuwa wanatajwa kuwa kwenye rada za Yanga na mwisho wa siku wakatua Simba ni pamoja na Luis Miquissone, Larry Bwalya na Clatous Chama.

 

MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA MZUNGUKO WA PILI VIDEO: NAHODHA WA KIGOMA SISTER ANANDOTO ZA KUWA REFA WA KIMATAIFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply