LIGI ya Wanawake Tanzania ipo kwenye lala salama kwa sasa ambapo kikosi cha Simba Queens kinachonolewa na Kocha Mkuu, Mussa Mgosi kinaendelea na mazoezi kwa ajili ya mechi zao zilizobaki namna hii