Ligi Kuu
MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII KWA SASA
Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa ni mzunguko wa pili kwa sasa timu zikipambania kombe, nne zitashuka jumlajumla na mbili zitacheza play offs.
Kuanzia nafasi ya 15-18 zitashiriki Ligi Daraja la Kwanza zikimaliza nafasi hiyo mpaka mwisho na zile zilizo nafasi ya 13 na 14 zitacheza play offs na timu kutoka Ligi Daraja la Kwanza.


Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.