Yanga SC

LAMINE MORO AENGULIWA KIKOSI CHA YANGA

admin May 15, 2021 9:47 am

 IMEELEZWA kuwa beki wa Yanga Lamine Moro ameondolewa kikosini kutokana na utovu wa nidhamu.

Kwa sasa kikosi cha Yanga kipo Lindi kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC unaotarajiwa kuchezwa leo majira ya saa 10:00 jioni.

Alipotafutwa Kaimu Katibu wa Yanga, Haji Mfikirwa ili azungumzie suala hilo alijibu kuwa yupo safarini.

Mtu wa karibu wa Lamine amesema kuwa nyota huyo kwa sasa hayupo sawa ila hajaweka wazi kinachomsumbua.

KIKOSI CHA SIMBA KINACHOTARAJIWA KUANZA MBELE YA KAIZER CHIEFS LEO KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA NAMUNGO FC

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply