news

VIDEO: BAO LILILOFUTWA STUMAI ALITAJA KUWA BAO BORA, ATAJA KILICHOMPONZA

admin May 16, 2021 7:47 pm

MSHAMBULIAJI namba moja wa kikosi cha JKT Queens ambaye yupo pia kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Wanawake Tanzania, Stumai Abdalah, amesema kuwa anaamini kwamba amefunga mabao 30 licha ya bao lake moja kufutwa pia ameweka wazi kwamba suala la majeruhi limemfanya ashindwe kuwa mfungaji bora kwa msimu huu wa 2020/21 ndani ya ligi hiyo huku akiwaomba wadau waendelee kuisapoti ligi hiyo kwa kuwa msimu ujao ushindani utakuwa mkubwa.

 

BREAKING: SIMBA V YANGA YAPANGIWA TAREHE UPYA KWA MKAPA MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply