Home Yanga SC VIDEO: DAUD YANGA APIGA HESABU KUSHTAKI KISA KUYEYUKA KWA MECHI YA SIMBA...

VIDEO: DAUD YANGA APIGA HESABU KUSHTAKI KISA KUYEYUKA KWA MECHI YA SIMBA V YANGA

DAUD Yanga, shabiki wa Yanga amesema kuwa kuyeyuka kwa mechi ya Simba na Yanga Mei 8 kulimsababisha ayeyushe jumla ya laki nne kutokana na kuwekeza gharama kubwa na mwisho wa siku waliambulia patupu na anahitaji alipwe pesa zake. 

 

SOMA NA HII  NI ZAMU YA NAMUNGO 5G