Yanga SC

YANGA WAWASILI DAR WAKITOKEA MTWARA

admin May 17, 2021 7:48 am


 KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu,  Nassreddine Nabi kimewasili salama leo Mei 17, Dar kikitokea Mtwara.


Yanga ilikuwa na kazi ya kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Namungo FC,  Mei 15 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa.


Baada ya dakika 90 kukamilika ubao ulisoma Namungo 0-0 Yanga na kuwafanya wagawane pointi mojamoja. 


Leo kimerejea ili kuanza maandalizi ya mchezo wao ujao dhidi ya JKT Tanzania unaotarajiwa kuchezwa Mei 19, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma 

DAVID LUIZ ANASEPA MAZIMA ARSENAL VIDEO: JKT QUEENS WATAJA SABABU ILIYOWAFANYA WASHINDWE KUTWAA UBINGWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply