Home video VIDEO: MASHABIKI WA YANGA WAWAPOKEA KAIZER CHIEFS

VIDEO: MASHABIKI WA YANGA WAWAPOKEA KAIZER CHIEFS

WAPINZANI wa Simba katika Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ni hatua ya robo fainali, Kaizer Chiefs wamewasili ardhi ya Tanzania, walipotua Bongo baadhi ya mashabiki ambao wanaaminika kuwa ni wa Yanga walijitokeza kuwapokea, na maneno yao ni kwamba wale ni ndugu zao. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: SIMBA: BAO LA YANGA LILIFUNGWA NA KAPOMBE, TUKUTANE KIGOMA