Simba SC

KIKOSI CHA SIMBA KINACHOTARAJIWA KUANZA DHIDI YA KAIZER CHIEFS

admin May 22, 2021 6:47 am


IKIWA leo Mei 22, kikosi cha Simba kinatarajiwa kumenyana na Kaizer Chiefs kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya ikiwa ni hatua ya robo fainali ya pili hiki hapa kikosi ambacho kinatarajiwa kuanza kwa mujibu wa Championi Jumamosi:-

 Aishi Manula

Shomari Kapombe

Joash Onyango

Pascal Wawa

Mohamed Hussein

Bernard Morrison

Taddeo Lwanga

Mzamiru Yassin

Clatous Chama

Chris Mugalu

Luis Miquissone

Wachezaji ambao wataanza leo wana kibarua cha kupindua meza kwa kuwa mchezo wa kwanza walifungwa mabao 4-0 hivyo haitakuwa kazi rahisi kwa kuwa wapinzani wao wana faida ya mabao ambayo waliyapata kwenye mchezo wao wa kwanza, Mei 15, Uwanja wa FNB Soccer City.

NYOTA WA MANCHESTER CITY AGUERO AKUBALI KUTUA BARCELONA BENCHI LA UFUNDI YANGA LAWAOMBA MASHABIKI KUSUBIRI MATOKEO CHANYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply