Home video VIDEO: YANGA VITANI LEO, SIMBA KUMALIZA HASIRA

VIDEO: YANGA VITANI LEO, SIMBA KUMALIZA HASIRA

KIKOSI cha Yanga leo kinatarajiwa kusaka ushindi mbele ya Mwadui FC kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya robo fainali utakaochezwa Uwanja wa Kambarage, Simba ni kesho dhidi ya Dodoma Jiji, Uwanja wa Mkapa.

SOMA NA HII  SEKUNDE 31 ZA KOCHA MPYA SIMBA ALIVYOTUA BONGO..UTAPENDA ALIVYOTANIWA...