Yanga SC

CAS YAPANGA SIKU YA KUSIKILIZA KESI YA MORRISON, SAKATA KUANZA UPYA

admin May 31, 2021 5:47 pm


JUNI 2,2021 kesi ya Bernard Morrison itaanza kusikilizwa upya baada ya CAS kutupilia mbali suala la rufaa ambayo ilikatwa na mchezaji huyo.


Sakata lake na Yanga ni kuhusu mkataba wake ambapo Yanga walikuwa wanadai kwamba nyota huyo alikuwa na kandarasi ya miaka miwili jambo ambalo mchezaji alisema kuwa amesaini dili la miezi sita.


GOMES ATAJA WACHEZAJI WAWILI ATAKAOWAONGEZA SIMBA SC MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply