video

SIMBA: TULISHINDWA KUTUMIA NAFASI AMBAZO TULIZITENGENEZA

admin May 23, 2021 10:47 am

BAADA ya kutolewa kwenye hatua ya robo fainali dhidi ya Kaizer Chiefs, shabiki wa Simba amesema kuwa Klabu Bingwa Afrika imewaonyesha namna walivyo bora na maana halisi ya kuwa na kikosi kipana, pia ameongeza kuwa wameshindwa kutumia nafasi walizotengeneza na wanajipanga kwa ajili ya wakati ujao

 

WAAMUZI SIMBA V YANGA NI PASUA KICHWA KWA KWELI VIDEO: NYOTA KAIZER CHIEFS, SIMBA ITAWEZA KUFIKIA MAFANIKIO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply