Home Yanga SC TIBOROHA AFAFANUA KUHUSU KUYEYUKA KWA MECHI YA SIMBA V YANGA

TIBOROHA AFAFANUA KUHUSU KUYEYUKA KWA MECHI YA SIMBA V YANGA

DK: TIBOROHA amesema kuwa tukio la mechi ya Simba v Yanga kuahirishwa Mei 8 kulimuhuzunisha pia kwa kuwa aliacha kazi mapema ili aweze kuwahi eneo la tukio, Uwanja wa Mkapa pia ameweka wazi kuwa kwa sasa kuna mambo mengi ya msingi ya kuyafahamu ili watu watambue tatizo ni nini. 


Ametaja mambo matatu kwa kuangalia namna watu wanavyolalamika kwenye mitandao wakidai kwamba Serikali imengilia michezo jambo ambalo FIFA huwa inakataa, Tiboroha amefanaua kwamba Serikali ni mdau namba moja wa michezo katika kila nchi na kuna utaratibu ambao upo.

 

SOMA NA HII  BAADA YA KUMALIZANA NA ISHU YA MANARA ...JEMEDARI SAIDI AMVAA INJINI HERSI...AMPONDA KWA KUOMBA KURA NA KOMBE...