Home Simba SC VIDEO: JOHN BOCCO: TUTAPAMBANA KUPATA USHINDI MBELE YA KAIZER CHIEFS

VIDEO: JOHN BOCCO: TUTAPAMBANA KUPATA USHINDI MBELE YA KAIZER CHIEFS


JOHN Bocco, nahodha wa kikosi cha Simba amesema kuwa wanaamini kwamba mchezo wao dhidi ya Kaizer Chiefs Mei 15 utakuwa mgumu lakini watapambana ili kupata matokeo mazuri kwa lengo la kufikia malengo ambayo wamejiwekea. 


Simba ilikwea pipa usiku wa kuamkia leo Mei 11 ambapo kitakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Kaizer Chifs ambao ni wa hatua ya robo fainali.

 

SOMA NA HII  SIMBA QUEENS KUKABIDHIWA UBINGWA LEO UWANJA WA UHURU