Home news VIDEO: SHABIKI ALIYEJICHORA NEMBO YA SIMBA ATAJA SABABU YA KUIPENDA TIMU HIYO

VIDEO: SHABIKI ALIYEJICHORA NEMBO YA SIMBA ATAJA SABABU YA KUIPENDA TIMU HIYO

SHABIKI mkubwa wa Klabu ya Simba, Aggy ambaye amejichora nembo ya Simba kwenye mkono wake amesema kuwa aliamua kujiita Miss Simba kwa kuwa anaamini kwamba jina la Simba litabaki ila mchezaji anaweza kuondoka katika timu ambayo atakuwa hapo. Pia ameweka wazi kuwa familia yake ni familia ya mpira.

 

SOMA NA HII  RASMI CHAMA KURUDI SIMBA.....SWALA LAKE LAPITISHWA KWENYE MKUTANO MKUU WA SIMBA...