Home video VIDEO: SIMBA, NAMUNGO WALITUZIDI, BAO LA MORRISON NI LA MSIMU

VIDEO: SIMBA, NAMUNGO WALITUZIDI, BAO LA MORRISON NI LA MSIMU


SHABIKI maarufu wa Simba, Aggy Simba amesema kuwa walikuwa kwenye presha kubwa jana wakati wapinzani wao Namungo wakiongoza kwa ushindi wa bao 1-0 ndani ya dakika 45. Aggy amesema kuwa bao la Morrison ni bao la msimu kwa kuwa ni bao zuri na linafungwa na wachezaji ambao wanatoka ndani ya kikosi cha Simba akiamini kwamba litamrudisha mchezaji huyo kwenye mchezo

 

SOMA NA HII  VIDEO; OSCAR OSCAR ABAINISHA MALENGO YAKE ATAKAPOWANIA URAIS, AITAJA FIFA