Home Simba SC VIDEO: SIMBA YAFAFANUA SABABU YA BERNARD MORISSON KUACHWA BONGO

VIDEO: SIMBA YAFAFANUA SABABU YA BERNARD MORISSON KUACHWA BONGO


BAADA ya msafara wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes kukwea pipa usiku wa kuamika leo na kuibukia Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya robo fainali dhidi ya Kaizer Chiefs na kumuacha nyota wao Bernard Morrison, uongozi wa Simba umetaja sababu za kumuacha nyota huyo. 


Pia Meneja Patrick Rweyemamu amesema kuwa wachezaji wengine ambao wamebaki Bongo ni pamoja na Said Ndemla, Miraj Athuman na Perfect Chikwende.

 

SOMA NA HII  MGUNDA: SIMBA SC HATAYUMBA KISA PHIRI HAYUPO...TUNAVIFAA VYA MAANA...