Home Yanga SC YANGA: CHAMA, LUIS HAWAWEZI KUCHEZA MBELE YA NINJA

YANGA: CHAMA, LUIS HAWAWEZI KUCHEZA MBELE YA NINJA


SHABIKI wa Yanga, Jimmy Kindoki amesema kuwa kwa namna yoyote ile mchezo wa Simba v Yanga, Yanga lazima washinde kwa kuwa mchezo wa dabi ni mechi ya tofauti. 


Ameongeza kuwa ikiwa Simba watakuwa na akili wazianze na mchezaji wao wa zamani, Bernard Morrison.
Kesho Mei 8 Yanga watakuwa wageni kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa majira ya saa 11:00 na sababu nyingine ameongeza kwamba Simba wanawadharau Yanga.

 

SOMA NA HII  BALAMA MAPINDUZI AREJEA KAZINI SASA