Home video VIDEO: KUHUSU CARLINOS KWENDA SIMBA, MANARA AJIBU

VIDEO: KUHUSU CARLINOS KWENDA SIMBA, MANARA AJIBU

BAADA ya nyota wa Yanga, Carlos Carlinhos kuamua kuvunja mkataba na timu yake ya Yanga kuna shabiki aliweka wazi kwamba nyota huyo anaweza kuibukia ndani ya Simba, jambo hilo halikuachwa hivihivi, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara alijibu

 

SOMA NA HII  VIDEO: KUMBE JEMBE ALIKATAZWA KUWA MWANDISHI, SABABU YA JINA YAWEKWA WAZI, ANACHANA