Yanga SC
VIDEO: KUMBUKIZI NAMNA CARLINHOS ALIVYOTUA BONGO NA MAPOKEZI YAKE
KUMBUKIZI namna nyota wa Yanga, Carlos Carlinhos alivyotua Bongo na mapokezi yake ila kwa sasa amevunja mkataba kasepa zake yupo Angola.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.