video
VIDEO: AJIBU ANUKIA KUTUA YANGA, GOMES AJIPA MECHI TANO KUTWAA UBINGWA
NYOTA wa zamani wa Yanga, ibrahim Ajibu ambaye kwa sasa anakipiga ndani ya Simba inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za kurejea Yanga msimu ujao, pia Kocha Mkuu, Didier Gomes amejipa mechi tano za ubingwa
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.