video

VIDEO: MASHABIKI WA SIMBA WATUMA SALAMU KWA YANGA, WADAI WANAOGOPA

admin June 4, 2021 10:47 am


MASHABIKI wa Simba wameweka wazi kuwa sababu kubwa ya kufanya vizuri ni uwekezaji ambao upo pia wamesema kuwa unaweza kuifunga Simba ila sio mara mbili nje ndani.


Kuhusu mechi yao dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Julai 3 wamesema kuwa watani zao wanawaogopa.


 Suala la kutolewa na Kaizer Chiefs wameweka wazi kwamba limewauma. Jana Juni 3, ubao wa CCM Kirumba ulisoma Ruvu Shooting 0-3 Simba, 

 

YANGA: MECHI YETU DHIDI YA SIMBA UKITUAMSHA USIKU TUNACHEZA VIDEO: MZEE WA UTOPOLO AFUNGUKA KUHUSU CARLINHOS, AITAJA MIHOGO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply