video
OSCAR: TFF WANAJUA KILA KITU KUHUSU MORRISON,YANGA KUGOMEA MECHI NI SUALA LA HOVYO
OSCAR Oscar mchambuzi wa masuala ya michezo amesema kuwa Yanga wanahaki ya kuifuatilia kesi yao ya Bernard Morrison kwa kuwa wao wanaamini kwamba ni mchezaji wao.
Pia amesema kuwa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) linajua kwamba kama Morrison alikuwa na mkataba na Yanga ama hana hivyo wao walipaswa kutusaidia tangu awali kuhusu suala la mkataba wa mchezaji huyo.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.